House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI KABISA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #350k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 350,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 2 Bajaji zipo ukishuka unapiga teke mlango bodaboda 1000
Ndani ya fence parking IPO
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37