House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


STAND ALONE NZURI
INAPANGISHWA 🇹🇿🇹🇿
NYUMBA IPO MAZINGIRA MAZURI SANA NA INA NAFASI
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA NI SELF, SEBULE, JIKO NA CHOO CHA PUBLIC
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI KUBWA NA USALAMA WA KUTOSHA
NYUMBA IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO UKIWA UNAELEKEA MBEZI
BEI LAKI MBILI NA NUSU KWA MWEZI
250.000/ KWA MWEZI ILIPWE YA MIEZI SITA
ILIPWE PESA YA MWEZI KWA DALALI PINDI UFANYAPO MALIPO YA NYUMBA
KUPELEKWA KUKAGUA SITE NI TSH 20,000/
NOTE... HII NYUMBA INAFANYIWA MAREKEBISHO MAKUBWA MPANGAJI ALIEHAMA AMEKAA KWA MIAKA MINNE MAREKEBISHO MUHIMU
NYUMBA HII INA ENEO KUBWA SANA UNAWEZA KUTUMIA KWA KUFUGA NA MATUMIZI MENGINE KWA MFANO KUPANDA MBOGA MBOGA NK..0763411222..
0716518013
TUPIGIE 0785527006 +255 658 582779