House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







SOMA MAELEZO KWA UMAKINI MKUBWA HAPA
MPYA MPYA MPYA KABISA HIZI UNAZINDUA MWENYEWE
PIA KUNA CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA PEMBENI
KODI 150,000X6
LOCATION:KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
UMBALI NI KM 2.5
USAFILI UPO MWINGI
BAJAJI 1000
BODA 1000
DALADALA 500
UMEME WAKO MAJI YANA FLOW NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747