House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HII APARTIMENT MPYA UNAANZA NAYO NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NI 250000X6 IMESHUKA BEI WAI UJICHAGULIE
APARTIMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SEBULE KUBWA
#KUNA SEHEM IMETENGWA KUNA WOSH NA SEHEM KiJIKO
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
NDANI YA FESI YENYE PEVING PARK KUBWA
APARTIMENT HII IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYENYUMBA NI DK 4 KWA USAFIRI WA BAJAJI 500 DARADARA ZA K/KOO ZIPO UKISHUKA TU UNAPIGA TEKE MLANGO UNAINGIA NDANI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI TSH 15000 UKIPENDA NYUMBA PESA YA DALALI MWEZI MMOJA
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYENYUMBA SINU 0659336751 WSP 0786085637