House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


LOCATION KIMARA KOROGWE KWA MKUA KUTOKA MWENDOKASI NI KM 1.5 BAJAJI 500 BODA 1000
SIFA ZAKE
(A)
#CHUMBA MASTER KUBWA SANA NA SEBULE KUBWA SANA HAKUNA JIKO
#CHOO CHA WAGENI NNJE KODI NI 180,000X6
#LUKU NA MITER YA MAJI MNASHEA 2
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA FENSI INAJENGWA ILA HAIINGIZI GARI KUONA NYUMBA EFU 15
SIMU 0659336751 WSP 0786085637