House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NIMEISHUSHA BEI SASA HIVYO 280,000/=×3
 APARTMENT MPYA KABISA BADO FINISHING NDOGO
 NDOGO KUMALIZIWA ZINA PANGISHWA KIMARA
 TEMBONI DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI .
CHUMBA
SEBLE 
JIKO
LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW
FENCE INA JENGWA 
PARKING SPACE KUBWA 
SERVICE CHARGE 15,000 
KODI 280,000/=×3
0679 956 863 
0759151524



















