House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


BEI NI TSH :120,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZIX 4,5,6 TUU.
===
MASTER BEDROOM INAPANGISHWA MPYA MPYA KABISA LOCATION:KIMARA MWISHO (DSM)🇹🇿
====
Umbali Wa Kilomita 1.5 kutoka Barabara ya morogoro road
Usafiri upo mwingi wa bajaji Taxs daladala Tsh 500/=
Boda boda Elfu 1000/= Tuu
====
Umeme submeter yako,maji meters yako
maji yanaflow chooni
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000/=
itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
0753 989554
0773700963
====
#07