House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


250,000 X6 KIMARA TEMBONI
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #250K
===
Vyumba VIWILI 2 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
==
Kodi 250,000 Kwa mwezi ร 6
===
Umbali KM 1.5
===
Ndani ya fence parking haina, kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
CONTACT US:-
0716223412
0683597453