House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


Apartment MPYA KABISA Inapangishwa KIMARA STOP OVER
Nyumba itakuwa tayari trh 15/06/2024 kuona na kulipia ruksa
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
MASTER BEDROOM
Sebule kubwa
Jiko la kisasa ( Open kitchen)
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Parking yakutosha
Kodi 200,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
0782636396 0655436396 0767636395