House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Mwisho
🕑1.5km kutoka Morogoro main road,Bajaji 700.
#SIFAZAKE
🔹Vyumba viwili, Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Dining
🔹Jiko
🔹Choo cha familia
🔹Umeme LUKU Mnashare wawili Kwa MUDA tu Maji yanflow ndani
🔹Fence & Parking kubwa
👉Zipo 2 Hapa na Kila Mmoja anaingia Kwenye Fensi yake peke yake
🔶Kodi Tsh 270, 000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 270, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊