House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
BEI 120,000 X 6
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
HAPA MASTER ZIPO 6 NA
WANASHEA UMEME WAWILI
KILA UPANDE WAWILI WAWILI
USAFIRI UPO BAJAJI TSH 700
BODA BODA sh 1000
NYUMBA MPYA MPYA
kuona nyumba Shilling 15,000
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1
What saapp number 0689-547258