House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM KUBWA INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI KM 2.5
KODI 100,000X6
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
USAFILI BAJAJI 1000
BODA BODA 1000
KIONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA