House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA MWISHO
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA PEMBENI NA STORE
PUBLIC TOILET YA NJE
IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMEME LUKU YAKO MAJI YANAFLOW NDANI MITA YAKO
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2.5
USAFILI BAJAJI 700
DALA DALA 600
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA USALAMA UPO WA KUTOSHA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
_____________________
KODI (180,000)
X 6
CALL 0779646072