House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK5 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
INAKUWA WAZI 30.4.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
-------
Chumba master
Seble
Jiko
Luku yako
Maji yana flow
Nsani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 270,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2.7
-----------
Contact
📞#0719745507 (WhatsApp)
📞#0741994657