House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 10
KUTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii ni chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
=============
kwa mwezi ni shilingi laki mbili nanusu tuu/=
(250,000)
X 6
Kwa maelezo zaidi Piga simu uhudumiwe kwa halaka
##0655256419