House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


KIMARA SUKA DAKIKA NNE (4)KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI
💥 SEHEMU 'A'
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
‼️ HAKUNA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#IPO NDANI YA FENSI
#PARKING
BEI NI 250,000/= X 6
💥 SEHEMU 'B'
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA (OPEN KITCHEN)
‼️ HAKUNA MASTER BEDROOM
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 200,0000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453