House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


300,000 x5,6
APARTMENT NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA  300,000/=
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 25/5/2024
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#SEBULE KUBWA 
#PUBLIC TOILET 
#HAKUNA MASTER 
#LUKU INAJITEGEMEA
#INAYOPANGISHWA NI YA CHINI SIO GOROFANI 
BEI NI 300,000/
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
๐ฅ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 25/05/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA NA MALIPO YANAPOKELEWA
0679 956 863 
0759151524



















