House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
WAHI TUWAHI KIMARA SUKA INAPANGISHWA KODI NI 70,000X6
Chumba cha kulala kikubwa Sana na Choo CHA PEMBENI CHA KWAKO
Kodi 70,000 Kwa mwezi × 6
Umeme wawili kuna submeter,maji yanaflow chooni bill, NDUGU MTEJA NYUMBA NIYAKUHAMIA TU
Umbali DAKIKA 0 UKISHUKA KWNYE BAJAJI DAKIKA 0 HAKUNA FENSI USALAMA UPO
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena simu 06 59 33 67 51 wsp 07 86 08 56 37