House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YA KISASA YA FAMILIA NDOGO NA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA
๐ฅ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
โผ๏ธ HAKUNA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET YA NDANI KWA NDANI
#JIKO KUBWA LIPO KWA NJE PEMBENI
#PARKING
#PAVING
BEI NI 230K X 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 30 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐น๐ฟ NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
๐ฅNJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
๐ค NAMALIZA PAMBANO HAPA (NO CHAIN)
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.