House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(250,000X6)KIMARA KOROGWE
➖➖➖➖➖➖➖➖
HII NI APARTIMENT 3 MOJA WAPO IPO WAZI INAPANGISHWA
BEI 250000X6 KUBWA NA NIZURI SANA
✔️CHUMBA MASTER
✔️SEBULE
✔️JIKO
UMEME MITA YAKO MAJI MITA YAKO
HII NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KM 2 TU
USAFI BAJAJI 500 DARADARA ZA K/KOO ZIPO
UKISHUKA TU UNATEMBEA DK3 KUFIKA KWENYENYUMBA
GARI UNALAZA KANISANI
NO PARKING WAI CHAPU SIO YA KUCHELEWA
NJOO ULIPIE NYUMBA NI KUBWA NA NISAFI WAI CHAPU MAJI YA TILILIKA MUDA WOTE
SERVICE CHARGE 15000
PESA YA DALALI MWEZI 1
➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453