House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/=×6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#SEBULE
#CHUMBA
#JIKO (OPEN KITCHEN)
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
# INAYOPANGISWA NI YA JUU KABISA NDUGU MTEJA
BEI NI 200,000/=×6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI AU UNAWEZA KUPITIA KWA MSUGURI NA UNAFIKA KWENYE NYUMBA VIZURI SANA NI DAKIKA 6 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Contact
#0754344786
#0652472014