House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI INAPANGISHWA 500K.
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA NI MASTER NA
SEBULE JIKO NA CHOO PUBLIC
LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SHARE WAWILI
YANAFLOW NDANI
TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA KIOO MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
KUNA PERVING BLOCKS
ZIPO MBILI KWA COMPOUND 1
LOCATION KIMARA BUCHA DK 3 TOKA BRBRN
NJIA NI RAFIKI SANA KWA MAGAR YOTE
BEI NI 500,000
NB: ITAKUWA WAZI TAR. 1.4.2024.
# Simu 0757 404087