House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


KODI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
UKIJA KUIONA NA UKAIPENDA MAZUNGUMZO YAPO KIDOGO NDG MTEJA WANGU
NI APARTMENT TATU TU KWENYE FENCE
NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDAN
HIZI APARTMENT ZIPO HAPA KIMARA SUKA KARIBU KABISA NA KITUO CHA MWENDOKAS NI DK 4 TU UPO NYUMBAN
SIFA ZAKE
########
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI MAZINGIRA MAZURI PARKING IPO
HII NYUMBA UKISHUKA TU KWENYE MWENDOKAS UNATEMBEA DK 4 TU UPO NYUMBAN
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0655256419