House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


INAKUA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU TAR 28
IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
NI APARTMENT 2 TU KWENYE FENSI NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE MAJI MITA YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
SIFA ZAKE
#########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE KILA MMOJA YAKE
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA . Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087