House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ 300k
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: KIMARA BARUTI NJIA YA CHUO
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 5 KUTOKA BARABARA YA KUINGIA CHUO
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข Sebule
โข Vyumba Viwili vya Kulala Kimoja Wapo Master
โข Jiko Kubwa
โข Choo Kizuri cha Wageni
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking iipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
๐๐ค๐๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 300,000/- Malipo Miezi 6
๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐ ๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp