House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE KWA MKUWA
KODI 110000 X6
MUUNDO
CHUMBA SEBULE KUBWA NA JIKO MAJI YANATOKA JIKONI CHOO CHA NNJE KUSHEA WATATU UMEME SUBMETER YAKO
ILIPWE LAKI MOJA NA KUMI MALIPO YA MIEZI SITA BILA KUPUNGUA HATA MIA
KUONA NYUMBA ELFU 15,000 BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT
0767636395 0655436396