House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA NI MPYA MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET NJE
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI SANA PARKING IPO
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KLM 2 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI TAX DALADALA NAULI 500 UKISHUKA DK 5 UPO KWENYE NYUMBA
#BEI NI 220,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 (LAKI MBILI NA ISHILINI KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA) PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI SALIM KIMARA UBUNGO
#NOTE/ KUJA KUONA NYUMBA NI SHINGI ELFU 15 MPAKA UPATE NYUMBA
#0715949085
#0782838336