House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER AU KIMARA MWISHO PIYA UNAWEZA KUSHUKA
DK 10 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO USAFIRI UPO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA ELF 15
UKILIPIA NYUMBA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMELIPIA NYUMBA
_____________________________________
SIFA YA NYUMBA
hii nyumba ina vyumba viwilli 2 vya kulala kimoja master bedroom sebule kubwa sana na jiko zuri lipo nnje pimbeni tuu
Umeme wakwako
Mazingira salama sana Yana faa
____________________________________
KODI YA PANGO KWA MWEZI MMOJA NA MALIPO KWA MWEZI MMOJA
Kodi kwa mwezi ni laki moja nasemanini miezi sita 6
(180,000)
X 6
Mteja piga simu usitume message uta chelewa kujibiwa
CALL 0779646072
CALL0713545127
Masele kimara raisi wa madalali kimara