House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MASTER NA JIKO 120,000 X4
LOCATION: KIMARA TEMBONI
UMBALI 2KM BAJAJI 1000
CHUMBA MASTER KUBWA SANA
JIKO ZURI KUBWA
MAJI YAPO YANAFLOW
UMEME LUKU 2
MAJI YANAFLOW CHOONI
KODI 120X 4
ZIPO MBILI TU MPYA
ZIPO KIMARA TEMBONI
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 2 UKISHUKA DAKIKA 1 UPO
NDANI
USAFIRI BAJAJI 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI
15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
IPO WAZI NI YA KUHAMIA TU
What saapp number 0689-547258