House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
KIMARA STOP OVER DK 5-7
KODI TSH 130,000 ILIPWE MIEZI 3 NAKUENDELEA
CHUMBA MASTAR KUBWA SANA SEBULE KUBWA
❌ HAINA JIKO
MAJI DAWASA YAPO NJE
UMEME SHEA
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI ILA HAILAZI GARI
KUONYESHWA NYUMBA 15 ELFU
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258