House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU
.
INAKUA WAZI J MOS YA WK HII KUJA KUIONA NA KULIPIA AU KUZUIA NA CHOCHOTE NI RUKSA KABISA
.
APARTMENT IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500 TU UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
.
KODI NI 160,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI VIWILI (2) KWANZA IKIISHA UNAANZA KULIPA 160X6
.
SIFA ZAKE
==========
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA NA SEBULE KUBWA
INA TILLES GYPSUM SAFI DRISHA SHATA MAZURI YENYE HEWA IPO NDAN YA FENS PARKING HAKUNA
.
SERVICHAJ ELIFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.