House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI INA MAVYUMBA MAKUBWA SANA NDANI YA FENSI
KODI 150,000X4
========
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA BARAZA
MAJI YANA FLOW NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BROCK
IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 2
BODA 1000
BAJAJI 700
BARABARA SAFI MTAA WA KISHUA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
=======
CONT
0683234124
0718367179