House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
HAPA PANA NYUMBA MPYA MBILI TOFAUTI SOMA MAELEZO KWA MAKINI ZIPO KIMARA MWISHO
HAYA WADAU APARTMENT ZETU ZINAFIKIA HATUA YA MWISHO KUKAMILIKA WAHI USIJE UKAKOSA NYUMBA
------------------
NI APARTMENT NZURI MPYA ZINAPANGISHWA ZIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI WA BAJAJI UPO NAULI NI TSH 700 UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 4 HADI KWENYE NYUMBA
BODABODA NI ELFU MOJA MPAKA KWENYE NYUMBA KUTOKA KIMARA MWISHO
---------
ZIPO APARTMENT MBILI TOFAUTI NA BEI TOFAUTI KAMA IFUATAVYO =
GHOROFANIKODI NI LAKI 500,000 /=
ZA CHINI KODI NI LAKI 400,000 /=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
----------
SIFA ZAKE =
VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA LA KISASA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
FULL PAVING BLOCKS
RESERVE SIM TANK
PARKING SPACE KUBWA
----------
TUNAPOKEA MALIPO TAREHE 1/4/2024 ZITAKUWA TAYARI KUHAMIA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000/=
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0716223412
0683597453