House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 200,000X6
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1.5 BODA BODA 1000 HADI NYUMBANI
KODI 200,000X6
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA PUBLIC TOILET YA PEMBENI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SAFI FULL PEVING BLOCKS
NYUMBA HII VYUMBA MAKUBWA SANA
NA IPO MTAA MZURI SANA WA KISHUA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI 15,000/=
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
What saapp number ⬅️ 0689-547258