House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NI NYUMBA YA KUPANGA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE
INAKUA WAZI TAR 28 MWEZI HUU
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
########
INA VYUMBA VITATU (3) VIKUBWA VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDAN
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI NDAN YA FENS PARKING YA GARI MOJA NA MAZINGIRA NI MAZURI MNOO
UMBALI KM 1,5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 1 UPO NYUMBAN
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
DALALI KISMATI UBUNGO ON WEDNESDAY MOOD ๐ฅ๐๐ช๐ค
0693850032