House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI ZA KISASA ZIPO HATUA YA MWISHO KUKAMILIKA
💥 APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET IPO NJE
#HAKUNA JIKO
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA
#HAKUNA PARKING ILA GARI LINAFIKA HADI MLANGONI
BEI NI 200,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥 MAFUNDI WAPO KAZINI KWA KASI YA 5G
#0785889413
#0785889413