House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


💥Nyumba Mpya Zinapangishwa, KIMARA KOROGWE
📍Zipo Aina 4 tofauti soma maelezo vizuri
________
__
★AINA YA 1👇
• Vyumba 2 vya kulala Vikubwa (Haina Master), •Sebule, •Jiko lenye Makabati na •Public Toilet
#Bei 350,000/= *6
_________________________
★AINA YA 2👇
•Chumba Cha kulala, • Sebule, •Dinning, •Jiko lenye makabati, •Choo Ndani.
#Bei 300,000/= *6
_________________________
★AINA YA 3👇
•Chumba Cha kulala, • Sebule, •Jiko lenye Makabati, •Choo Ndani.
#Bei 280,000/= *6
_________________________
★AINA YA 4👇
•Chumba Master • Sebule, •Jiko lenye Makabati, •Choo cha wageni nje.
#Bei 200,000/= *6
____________________
★SIFA ZA ZOTE
• Zinajitegemea UMEME
• Maji Ndani
📌 Zinakuwa Tayari kuhamia Tarehe 01/03/2024
#Umbali wa Km 1.7, bajaji 500/= au Bodaboda 1,000/=
__________
#Malipo ya dalali Nasoni ni hela ya mwezi mmoja
#Service Charge 15,000/=
№; 0753-172-516
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#nyumba #dalali #simba #yangasc #udsm #mangekimambi #udaku #millardayoupdates #nbcpremierleague #realestate #kariakoo #udsmupdates