House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISWA
.
HIZI APARTMENT NI ZA KUINGIA TAR 10/02/2025
.
ZIPO APARTMENT 7 KWENYE COMPOUND MOJA 4 ZIMELIPIWA ZIMEBAKI 3 TU WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
LOCATION: KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI UMBALI KM 1.7 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 50P UKISHUKA DK 5 MPKA 7 KWA MIGUU UPO NYUMBAN BODA NI ELFU MOJA TU MPKA GETIN
.
SIFA ZAKE
=========
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO ZURI KUBWA
LINAWEKWA MAKABATI
PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDANI
FEN ZINAFUNGWA
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK ZINAWEKWA
MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI SILAA NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
.
CONTACT
0742260844
0657384670