House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI
==================
KODI NI 270,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
===============
LOCATION: KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.7 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500 NA BRBR NI RAFIKI KWA GARI YA AINA YOYOTE
=================
INAJITEGEMEA LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI
==================
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI FULL FEN CHUMBANI NA SEBLEN
=================
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
===================
CONTACT
0742260844
0788296797
0657384670



















