House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(350,000 ร 6) KIMARA MWISHO
APARTMENT NZURI SANA MPYA UKIHAMIA WEWE UNAKUWA MPANGAJI WAPILI KUISHI INAKUWA WAZI TAREHE 25\/05\/2024 KUONA MALIPO RUKSA
#VYUMBA VIWILI 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE
#JIKO ZULI LENYE KABATI
#CHOO CHA FAMILIA
#INAJITEGEMEA LUKU YAKE NA MITER YA MAJI
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#TAILZY, GIPSAM, ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0716223412
0683597453