House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 10
KUTOKA STEND STOP OVER
KUPELEKWA KUONA ELF 15
UKILIPIA NYUMBA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMELIPIA NYUMBA
______________________
____________
SIFA YA NYUMBA
hii nyumba ina vyumba viwilli 2 vya kulala kimoja master bedroom na jiko zuri lipo ndani
Nyumba hii mpya kabisa
Umeme NA maji ni wewe mwenyewe
Nyumba hii ipo hatuwa ZA mwisho matengezezo
______________________________________
KODI YA PANGO KWA MWEZI MMOJA NA MALIPO KWA MWEZI MMOJA
Kodi kwa mwezi ni laki nne4 mieezi sita 6
(400,000)
X 6
Mteja piga simu usitume message uta chelewa kujibiwa
CALL 0784810004
0779646072
0713545127 WhatsApp