House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*CHUMBA, SEBULE, PUBLIC TOILET NJE YA KWAKO MWENYEWE USHEI NA MTU, MAJI DAWASA YANA FROW CHOONI
*ZIKO 3 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANAJITEGEMEA LUKU&MAJI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA DK15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI KIMARA MWISHO, AU KM1, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 150,000/= KWA MWEZI
______________________________
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347