House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK3 KUTOKA LAMI BADO FINISHING NDOGO TU KUMALIZIWA.
-------
Chumba master
Seble kubwa
Jiko kubwa la njee lako mwenyewe
Luku yako
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 250,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2.5
----------
Contact
📞#0655256419
##0760830706