House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYAAA KABISA HIZI UNAZINDUA MWENYEWE INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA SUKA
KODI 150,000X6 ๐
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA BARAZA LA JIKO LIMEZIBWA JUU
UMEME LUKU YAKO
NA MAJI METER YAKO NA YANA FLOW NDANI
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1.5
USAFILI BAJAJI 700
BODA BODA 1000
MPAKA NYUMBANI
NYUMBA HAIPO NDANI YA FENSI ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA NA GARI INAFIKA HADI MLANGONI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000 ๐
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
โฌ๏ธ
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258