House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 5 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/08/2025 KUONA MALIPO RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
WASTANI
MASTER
KUBWA
GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
INAJITEGEMEA
DAWASA NDANI
KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
NI 250,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI
/ KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0713661530_0783661530