House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 12
KUTOKA STEND
KUPELEKWA KUONA ELF 15
UKIRIPIYA NYUMBA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMELIPIA NYUMBA
_________________________
SIFA YA NYUMBA
hii ni chumba sebule master bedroom na jiko zuri lipo ndani
Nyumba hii ipo ndani ya fensi
Inajitegemea umeme NA maji
hii nyumba mpya bado
Ina mazingira mazur saana
Ipo kwenye hatuwa za mwisho bado kioo tuu
______________________________________
KODI YA PANGO KWA MWEZI MMOJA NA MALIPO KWA MWEZI MMOJA
Kodi kwa mwezi ni laki mbilli tuuu mieezi sita 6
(200,000)
X 6
Mteja kwa huduma zaidi piga simu usaidiwe kwa haraka
CALL 0779646072
0713545127 WhatsApp
Dalali masele kimara raisi wa madalali kimara