House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA MWISHO UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.2
USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK.5
KODI NI TZS 250K X6
CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA MNO YAKUJIACHIA JIKO KUBWA LA KISASA NA PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA FULL PERVING BLOCKS ๐ซ
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
NB;
NYUMBA NI NZURI NA INA VYUMBA VIKUBWA
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZS.20,000
UKIIPENDA NYUMBA NA UKILIPIA MALIPO YA DALALI NI PESA YA MWEZI MMOJA