House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
MASTER NA SEBURE NA JIKO .
Inajitegemea Umeme luku yakwako.
Ipo ndani ya fensi parking kubwa.
Ipo kimara baruti dakika 5 tu kutoka stend ya mwendokasi.
Bei laki 2 na elfu 50 kuanzia miezi 4 inapokelewa.
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali.
Simu 0757 404087