House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(350,000X6)KIMARA TEMBONI
==============
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA 
==============
IPO KIMARA TEMBONI  KM 2.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 700
==============
KODI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA 
==============
SIFA ZAKE 
########
VYUMBA VIWILI VIKUBWA 
KIMOJA MASTER 
SEBULE KUBWA SANAAA
DAINING 
JIKO ZURI KUBWA 
LINAWEKWA MAKABATI 
STOO
TILLES & GYPSUM 
ALUMINIUM 
FEN ZINAWEKWA 
LUKU YAKE 
MAJI YAPO 
DAWASA 
YANAFLOW NDAN 
MAZINGIRA YATAKUA MAZURI 
=============
HII NYUMBA INAPIGWA RANGI NDAN  NA MAREKEBISHO MENGNE YOTE INARUDISHWA MPYAA
=================
NA BRBR NI RAFIKI KABISA KWA GARI YA AINA YOYOTE 
==================
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA 
==============
SIMU
0716223412
0683597453



















