House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAAA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE
KODI 350,000X6
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI DAKIKA 15 KWA MGUU
INA VYUMBA VIWILLI VYA KULALA VYOTE MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
UMEME WAKE
MAJI MITA YAKO
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
#0785889413๐ฅ๐ฅ